DKB2201 Kiswahili Grammar and Reading-Teaching Methods
Course Unit Title
DKB2201 Kiswahili Grammar and Reading-Teaching Methods
Course Unit Description
MSAMIATI
- Eleza maana kwa kutumia vifaa
- tunga sentensi
- Kutumia visa, mikasa na hadithi
- Kuigiza na kuiga jinzi ya kufundisha msamiati
INSHA
- Kujadili aina mbalimbali za mitunzo
- Kuchagua kichwa
- Kujadili vidokezi
- Mpangilio – Utangulizi, maudhui na tamati
- Mtiririko, mtindo, sarufi, maendelezo
- Kuandika insha
- Masahihisho baada ya mwalimu kupitia insha zote za darasa
IMLA
- Kuchagua maneno, vifungu, sentensi au aya
- Mwalimu asome kwa mara ya kwanza
- Mwalimu asome kwa mara ya pili huka wanafunzi wakaondika
- Mwalimu arudie kusoma ili wanafunzi wasahihishe
- Matayarisho ya mwigo wa funzo la imla
- Kuzingatia matumishi bora
MASHAIRI
- Kuchagua shairi linalofaa
- Kufunza msamiati
- Kusoma shairi kwa makini
- Kukariri shairi
- Kuimba shairi
- Kuiga ufunzi wa funzo la mashairi
- Kuchambua mashairi
- Kujibu maswali
- Mazoezi Zaidi
TAMTHILIA NA RIWAYA
- Kusoma vitabu darasani
- Jukadiliana
- Kuchambua
- Maswali
- Masahihisho
- Mwigo was ufunzi wa masomo
MATAYARISHO YA KUFUNZA
- Mwigo wa kufunza vipindi mbalimbali kupitia kwa makundi k.v. Sarufi, msamiati, kusoma, insha, mashairi na ufahamu.
